UNATAKA KUKUZA BIASHARA YAKO?

Ukiwa kama mafanya biashara unaitaji kua na mambo 2 ya muhimu kukuza biashara yako.

1.KWENDA NA WAKATI.
Ukitaka biashara yako ikue vizuri unitaji kwenda na wakati. Nikisema kwenda na wakati na maanisha kua na vifaa vya kisasa ambavyo vitakusaidia wewe katika kuendesha biashara yako vizuri. Kwa mfano unaitaji Laptop au desktop kwaajili ya biashara yako ambayo itakusaidia  wewe katika kuifadhi kukmbukumbu zako badala ya kutumia daftari ambalo likiingia maji au kuchanika basi kumbukumbu zinapotea lakini ukitumia laptops au desktop unaweza kutunza kumbukumbu zako miaka na miaka na zisipotee. 

2.ULINZI.
Ulinzi ni muhimu sana katika biashara kwa sababu ukikosa ulinzi basi ni rahisi kupata hasara kwa sababu utaibiwa mali zako bila habari. Unaweza ukawa unasimamia biashara yako mwenyewe na bado ukaibiawa lakini kulingana na uatandawazi tumepata nafasi yakua na ulinzi wa CCTV CAMERAS ambazo zina uwezo wakukupatia taarifa ya ulinzi wa biashara yako muda wote ambao utakuwepo au hautakuwepo katika biashara yako.
Watu wengi ukiwaambia kuhusu ulinzi wa CCTV CAMERAS wamekua wakisema izo ni kwaajili ya watu wenye uwezo lakini si kweli kwa sababu zipo tofauti tofauti ambapo inakupa nafasi wewe mfanya biashara mdogo kuchukua camera kulinga na uwezo wako.

MICA COMPUTERS SERVICES LTD ARUSHA inakupa offer wewe mfanya biashara mdogo  yakua na CCTV CAMERA ya DIGITAL CCD VIDEO CAMERA ambayo ina Indoor and Outdoor cameras, lens adjustment, water proof (IR) Cameras. Kwa shilingi 59,000/= tu KWA CAMERA MOJA TU . Na kufanyiwa SURVEY NA USHAURI BURE BILA MALIPO YEYOTE.

KWA MAHITAJI ZAIDI WASILIANA NA SISI
EMAIL: info@micacomputers.com
                 Tel No's: 0755 733 357 or 0754 480 927




Comments

Popular posts from this blog

ARE YOUR COMPUTERS PROTECTED FROM VIRUS?

Printer ipi ni sahihi kwako kununua?