Printer ipi ni sahihi kwako kununua?

Kununua printer pasipo kujua tofauti zake ni sawa na kununua mbuzi kwenye gunia.
Unaitaji kujua namna ya kuchambua tofauti zilizopo katika Printers kutokana na namna zinavyo fanya kazi namna unavyotaka.
Unatakiwa ujue kwa nini unaitaji Printer,
Gharama ya printer na wino wake, 
Ubora wa picha unaotaka.
Speed ya Printer unayotaka.
Wingi wa Kratasi unazotaka upate.
Kupata Mjibu zaidi ya printer ipi ununue
Pitia http://www.micacomputers.com/
#printers#computers#business#entrepreneurs#smallbusiness#arusha#micacomputers#lik4like#followers#tag#love#smile#technology




Comments

Popular posts from this blog

ARE YOUR COMPUTERS PROTECTED FROM VIRUS?