Posts

Showing posts from January, 2018

Printer ipi ni sahihi kwako kununua?

Image
Kununua printer pasipo kujua tofauti zake ni sawa na kununua mbuzi kwenye gunia. Unaitaji kujua namna ya kuchambua tofauti zilizopo katika Printers kutokana na namna zinavyo fanya kazi namna unavyotaka. Unatakiwa ujue kwa nini unaitaji Printer, Gharama ya printer na wino wake,  Ubora wa picha unaotaka. Speed ya Printer unayotaka. Wingi wa Kratasi unazotaka upate. Kupata Mjibu zaidi ya printer ipi ununue Pitia http://www.micacomputers.com/ #printers#computers#business#entrepreneurs#smallbusiness#arusha#micacomputers#lik4like#followers#tag#love#smile#technology

DO YOU WANT A PRINTER FOR YOUR PERSONAL USE?

Image
As MICA COMPUTER SERVICES LTD ARUSHA offering a wide range of I.C.T products and solutions for systems.  Alot of people wishes to have their person printers at their home and officess. HP DESK JET INK 3785 Printers is the best solutions for your problems because is the portable printer , need small space , it can print, scan,and copy and its wireless printer. Its 250,000/= tshs VAT Inclusive. MICA COMPUTERS is happy to help you and advice you on the best I.C.T Equipments.                  For any enquiries please contact us through                  EMAIL: info@micacomputers.com                  Tel No's: 0755 733 357 or 0754 480 927 ...

DO YOU WANT A PRINTER FOR YOUR PERSONAL USE?

Image
As MICA COMPUTER SERVICES LTD ARUSHA offering a wide range of I.C.T products and solutions for systems.  Alot of people wishes to have their person printers at their home and officess. HP DESKJET INK 3785 Printers is the best solutions for your problems because is the portable printer , need small space , it can print, scan,and copy. Its 250,000/= tshs VAT Inclusive. MICA COMPUTERS is happy to help you and advice you on the best I.C.T Equipments.                  For any enquiries please contact us through                  EMAIL: info@micacomputers.com                  Tel No's: 0755 733 357 or ...

UNATAKA KUKUZA BIASHARA YAKO?

Image
Ukiwa kama mafanya biashara unaitaji kua na mambo 2 ya muhimu kukuza biashara yako. 1.KWENDA NA WAKATI. Ukitaka biashara yako ikue vizuri unitaji kwenda na wakati. Nikisema kwenda na wakati na maanisha kua na vifaa vya kisasa ambavyo vitakusaidia wewe katika kuendesha biashara yako vizuri. Kwa mfano unaitaji Laptop au desktop kwaajili ya biashara yako ambayo itakusaidia  wewe katika kuifadhi kukmbukumbu zako badala ya kutumia daftari ambalo likiingia maji au kuchanika basi kumbukumbu zinapotea lakini ukitumia laptops au desktop unaweza kutunza kumbukumbu zako miaka na miaka na zisipotee.  2.ULINZI. Ulinzi ni muhimu sana katika biashara kwa sababu ukikosa ulinzi basi ni rahisi kupata hasara kwa sababu utaibiwa mali zako bila habari. Unaweza ukawa unasimamia biashara yako mwenyewe na bado ukaibiawa lakini kulingana na uatandawazi tumepata nafasi yakua na ulinzi wa CCTV CAMERAS ambazo zina uwezo wakukupatia taarifa ya ulinzi wa biashara yako muda wote ambao utakuwepo...